Phina – Sisi Ni Wale [Mp3+Letras]
Reproducir pista de prueba si esta disponible. DESCARGA EL AUDIO ORIGINAL TAMAÑO: 9.25 MB - 320 Kbps SERVIDOR: MEGA Letras / Lyrics Phina – Sisi Ni Wale Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba Sina hela, sina pesa, sina doh Sina nyumba sina gari, sina ooh Kila kukikucha mi naiwaza kesho Napiga moyo konde nitafika ooh Wanaokudharau leo Watakusalimia kesho, kwa heshima Wanaokusema sema, watakusifia kesho Unaokula nao na kucheka nao Kesho ukidondoka utokuwa nao Piga moyo konde Wakati wa Mungu wakati sahihi Piga moyo konde Wakati wa Baba wakati sahihi (Sisi ni wale) Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba Jana niliumwa, nikadhani nitakufa Leo niko fiti, ukinicheki nadundika Nilipoachishwa kazi walidhani nitasota Leo nipo juu ile kibosi nadundika Kama unaamini umesaidiwa na Mungu Piga kelele Kelele moja (Eeh) Kelele mbili (Eeh eeh) Kama unaamini umesaidiwa na Mungu Piga kelele Kelele moja (Eeh) Kelele mbili (Eeh eeh) Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu Sisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba |
|
|
|
Vistas: 37 | Descargas: 1
| Comentarios: 1
|
..:: (9.25 Mb)
::..
|
Total de comentarios: 1 | |
|
|